Jumatatu, Februari 13, 2017

VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO TANZANIA

Vichwa vya habari katika magazeti ya leo tarehe 14 februari, 2017

TANZANIA DAIMA
CCM 'bifu' jipya na Magufuli, maelfu ya wanachama watimuliwa kumuunga mkono Lowassa
Mume na Mkewe wafungwa jela miaka 20
Makonda aufyata. afungwa breki kutaja majina mapya 97
Manji chini ya ulinzi hospitalini
NAPE: Kuna watu wanania ya kunigombanisha
Nyenzi. Hashimu wasamehewa Yanga
Mghana amvulia kofia Jonas Mkude
Wazee wa 5G kurejea Dar leo
Manji awasamehe Nyenzi, Mkemi, Inspekta Hashimu

MTANZANIA
Dawa za kulevya awamu ya tatu, hakuna atakayepona, Majina mapya yatajwa kwa staili mpya, wamo wanasiasa, watoto na wakubwa
Mauzo ya hisa yashuka kwa asilimia 84
Samaki soko la feri bei juu maradufu
LWANDAMINA: Bado kazi ipo ligi ya mabingwa Afrika
Mayanja atambia kombinesheni mpya
KIFARU: Mtibwa ina ubora ule ule
TID: Nitakuwa mwalimu wa vijana wenzangu

JAMHURI
Majaji wanaolinda wauza 'unga' hawa
majina 570 ya wauza unga...
Meneja ampuuza rais Magufuli
Majaji wa Tanzania mpo?
Precision Air yapata cheti cha ubora
Tukubali nchi ilishayumba
Serengeti Boys iandaliwe vema
MADEE: Nidhamu msingi wa wasanii

BINGWA
Bossou anunua kesi ya Ajib
Pambani SIMBA VS YANGA laongeza presha mbio za ubingwa
Ndemla kaa la moto
Mume wa Shamsa Ford anasa kwa Makonda
Ni kivumbi ligi ya mabingwa, big match Barcelona VS PSG
Valentine's Day inavyoacha vilio kwa wapenzi
Ibrahimovic bado hakijaeleweka Man Utd
Ronadinho atabiri mechi ngumu Barca dhidi ya PSG
Vidal ataja kitakachoiua Arsenal

0 comments:

Chapisha Maoni