Jumanne, Februari 14, 2017

LEBRON JAMES NA BLAKE GRIFFIN WACHEZAJI BORA NBA

Lebron James

Blake Griffin
Unapenda na kufuatilia mpira wa kikapu? Basi taarifa ni kwamba staa wa Cavaliers Lebron James pamoja na staa mwingine wa kikapu, mchezaji wa LA Clippers' Blake Griffin leo wametangazwa kama wachezaji bora katika NBA wiki hii.
James aliongoza Cavaliers na pointi 25.5 na Griffin aliongoza Clippers kwa pointi 26.0

0 comments:

Chapisha Maoni