MWANANCHI
- Siku 30 zitakavyotikiswa na matukio matano nchini...Mgogoro wa waalimu, Kuhamia Dodoma, Marufuku viroba, Kuhama mtandao, Kwaresma.
- Mauaji ya Kinyama kwa viongozi wanane kibiti ndani ya miezi 10
- Nape afunguka kuwatetea wasanii kuhusu 'unga'
- James Mbatia aweka hadharani ugonjwa unaomsumbua
- Askofu Mokiwa afuta kesi ya kupinga kuvuliwa wadhifa wake
- Ndugu wasusa maiti ya aliyegongwa na polisi Geita
- Wananchi waomba mahindi ya msaada
- Rais Donald Trump amlalamikia Barack Obama
- Bossou, mashabiki wavaana Instagram
- Simba, Yanga mwendo wa kadi nyekundu
HABARI LEO
- Operesheni kali kkamata viroba kuanza kesho...Kampuni tano zakimbilia mahakama kuu, zafungua kesi
- Wasanii wadai Wema Sepetu ni muongo
- Usafirishaji mkaa wilaya moja hadi nyingine wapigwa 'stop'
- Maeneo mengi nchini yanatarajiwa kupata mvua nzuri katika msimu wa masika Machi hadi Mei mwaka huu.
- Viongozi na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi wamehamia rasmi makao makuu ya nchi kuanzia juzi.
- Yanga kazi moja leo
- Diamond, Alikiba waunda kamati Serengeti boys
- Ligi ya wanawake yazidi kunoga
- Wenger akataa mamilioni China
UHURU
- Majaliwa abaini madudu minada ya madini...Asema taratibu zinakiukwa, mapato ya mauzo hayabadiliki...Awaonya wanaoendesha mashirika ya umma kwa hasara
- Viroba sasa marufuku...Ukikutwa navyo jela miaka mitatu au faini 50,000/=
- Askofu Mokiwa afuta kesi mahakamani
- Nape asema yupo tayari kujiuzulu
- Wasanii wamuumbua Wema Sepetu...Wakana kudai pesa CCM...Wasema hawatamfuata Chadema
- Wanaowachafua, kuwakashifu wenzao mitandaoni kukiona
- Yanga yampasha Bossou
- Tanzania yapania Olimpiki 2020
- Nkongo aula Klabu Bingwa Afrika
0 comments:
Chapisha Maoni