Jumanne, Februari 14, 2017

JAPAN KUJENGA UWANJA WA BASEBALL TANZANIA

Serikali ya Japan inatarajiwa kujenga uwanja wa baseball wenye thamani ya shilingi milioni 169 katika shule ya sekondari Azania iliyopo jijini Dar es salaam
Sherehe za kutiliana saini ya ujenzi wa uwanja huo, zitafanyika kesho jumatano kwenye ubalozi wa Japan nchini Tanzania, kati ya Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshinda na mwenyekiti wa chama cha mchezo wa bassball na softball Tanzania TaBSA Dr. Ahmed Mataka.
Utiliaji saini wa ujenzi wa uwanja huo, utahudhuriwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye.

0 comments:

Chapisha Maoni