Magazeti ya leo tarehe 15 februari 2017, karibu upitie vichwa vya habari kubwa leo
HABARI LEO
- Ma-RPC waongeza vita dhidi ya 'unga'...hawataangalia sura ya mtu, cheo, nafasi katika jamii...Arusha wakamatwa watuhumiwa 80 akiwemo polisi
- Idara ya Uhamiaji kumfikisha Manji Kortini
- Malori ya makontena yabakiza wiki tisa Dar
- Ushindi wetu mpaka Simba-Yanga
- TFF yatia mguu vita ya dawa za kulevya
- Arsenal, Real Madrid vita kali Ulaya
- Wasanii wahimizwa kutumia kiswahili
NIPASHE
- Spika Ndugai amkacha Makonda
- Polisi adakwa kwa tuhuma za ajabu
- Moto mihadarati wamwagiwa mafuta
- Chanzo kesi ya Lissu chatajwa
- Simba, Yanga watambiana...ni kuelekea kwenye mchezo wa februari 25 ambao utatoa picha ya ubingwa msimu huu
- Programu ya Stars yakabidhiwa TFF
- Lewandowski aihofia Arsenal
MWANANCHI
- Janga lingine latua kwa Manji...Idara ya uhamiaji yamtaka aripoti ofisini kwao kwa mahojiano kwa madai ameajiri raia wa kigeni wasio na vibali vya kufanya kazi nchini
- Lissu, Kamanda wa polisi watoana jasho kizimbani
- Wabunge watofautiana kupimwa dawa za kulevya
- Ndoto zazimika baada ya kuvunjika shingo na mgongo
- Bangi inaongoza kwa kuwafanya watu vichaa
- Mahujaji hatarini kuzuiwa Saudia
- TUCTA, Serikali kujadili matamko ya viongozi
- Makamanda wa polisi waagizwa kutoogopa
- Maduka ya fedha yakana tuhuma za RC Makonda
- Timu za Dar zaangukia pua
- Dida, Mghana waweka rekodi
MTANZANIA
- Sianga abadili gia ya Makonda...Asema hatotaja majina hadharani bila ushahidi, wanaotoa orodha kupakazia wenzao nao kukiona.
- Swali la Lissu lazua ubishi mahakamani
- Utata sakata la Manji, Uhamiaji
- 'Mateja' wakimbia vijiwe, wasaka tiba
- Wachezaji Yanga watua na akili za kimataifa
- Serengeti Boys kutembelea 'Sober House' Bagamoyo
- Mayanga aikabidhi TFF programu ya Taifa Stars
- Arsenal itafuta uteja kwa Bayern Munich leo?
- Nyota ya Farid yaanza kung'ara Hispania
RAIA MWEMA
- Makonda ni nani?...Ni yule mchimba mchanga, mkata mkaa
- Rais Magufuli awapatanisha mahasimu Mbowe, Zitto
- Tz kutuma wabunge makini Afrika Mashariki
- 'Collective Embecilization' ya Profesa Chachage
- 'Vita baridi' ya Zuma, Ramaphosa yafikia pabaya
- Sadio Mane, Mungu anakuona...kwa kuisaliti nchi yako kwa mshahara mnono
0 comments:
Chapisha Maoni