Jumanne, Agosti 30, 2016

NYWELE ZAZUA TAFRANI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI AFRIKA KUSINI

Wanafunzi wa shule ya sekondari nchini Afrika Kusini wamepinga hatua ya wasichana weusi kulazimishwa na walimu kuchana nywele zao tofauti Na zile za wasichana weupe, huku walimu wakidai kwamba wao wanafao kufuata sheria ya kuchana nywele Zao.
Wanafunzi hao wanasema hii ni ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa watu.
Mwanafunzi moja alisema kwamba kilicho chochea maandamano haya katika shule ya upili ya wasichana ya Pretoria ni baada ya msichana mweusi Mwenye umri wa miaka 13 kuadhibiwa kwa kuandika insha juu ya wanawake weusi Na mateso waliopitia katika mikono ya watu weupe.

0 comments:

Chapisha Maoni