Jumanne, Agosti 30, 2016

MUIMBAJI AKOTHEE AANGUKA NA KUPOTEZA FAHAMU GENEVA USWIZI

Muimbaji wa Kenya Esther Akoth aka Akothee ameanguka na kupoteza fahamu Uswizi.
Meneja wake Nelson amesema hali ya kiafya ya Akothee kwa sasa haijaregea sawa baada ya madaktari kueleza kwamba mipigo ya moyo wa mtoto wake mmoja kwenye tumbo imekua dhaifu.
Muimbaji huyo ni mja mzito anatarajia kujifungua mapacha.

0 comments:

Chapisha Maoni