Alhamisi, Juni 30, 2016

SAMAKI AVULIWA, AKUTWA NA MENO YA BINADAMU

Wavuvi nchini Urusi wameshtuka baada ya kumshika samaki akiwa na meno ya binadamu.
Samaki huyu wa urefu wa cm 20 amepatikana katika mto wa Tula.
Jamaa wamekataa kumla wala kumuuza na ikabidi wakampeleke katika kituo cha utafiti.

0 comments:

Chapisha Maoni