Jumanne, Aprili 19, 2016

KICHUYA WA MTIBWA SUGAR MCHEZAJI BORA MWEZI MACHI VPL

Mshambuliaji Shiza Ramadhan Kichuya wa timu ya Mtibwa Sugar amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi kwa Ligi Kuu Tanzania.
Kichuya alionyesha kiwango cha juu katika mwezi huo uliokuwa na raundi nne, hivyo kuisaidia timu yake kushinda mechi mbili kati ya tatu ilizocheza.

0 comments:

Chapisha Maoni