Jumanne, Aprili 19, 2016

BASI LILILOSHAMBULIWA NA BOMU JERUSALEM

Zaidi ya watu 20 wameuwawa kwenye mlipuko uliotokea ndani ya basi mjini Jerusalem, wanasema polisi nchini Israel
Polisi wa Israel pamoja na waziri mkuu Benjamin Netanyahu wanasema mlipuko huo ni shambulizi la kigaidi.
Hakuna aliyedai kuhusika na shambulizi hilo.
Kundi la Hamas limetoa taarifa likisifu shambulizi hilo lakini halikutaja kama limehusika.

0 comments:

Chapisha Maoni