Mchana huu katika ukumbi wa Bwawani huko visiwani Zanzibar kupitia mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha, Dkt. Ally Mohamed Shein ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais visiwani humo kufuatia uchaguzi wa marudio uliofanyika jana.
Jecha akitangaza matokeo hayo amebainnisha kuwa Dkt. Shein ameshinda kwa asilimia 91 ya kura zote zilizopigwa katika uchaguzi huo wa marudio uliofanyika jana.
0 comments:
Chapisha Maoni