Jumatatu, Machi 28, 2016

VIDEO: RAILA ODINGA WA KENYA ADONDOKA NA JUKWAA

Kutoka nchini Kenya huko Mombasa tunaarifiwa tukio lililotokea leo kuwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga amepatwa na majeraha baada ya jukwaa alilokuwa akitumia kuhutubia kuanguka.
Jukwaa hilo lilidondoka likiwa limejaa viongozi wa muungano wa vyama vya upinzani(CORD), unaweza kutazama tukio katika video kapa chini...

0 comments:

Chapisha Maoni