Jumatatu, Machi 28, 2016

SANAMU ZA DONALD TRUMP ZACHOMWA MOTO


Sanamu za mgombea urais Marekani katika chama cha Republican Donald Trump zilichomwa moto mwishoni mwa wiki huku wa Mexicans wakisherehekea Pasaka kote nchini .
Sanamu za tajiri mwenye utata ambaye aligeuka-mwanasiasa, zilichomwa Jumamosi na Jumapili katika jamii za Mexico na sehemu nyingine za nchi, magazeti yalitoa repoti siku ya Jumapili.
"Kwa mwaka huu sherehe za kuchoma Yuda, inamfaa Trump kama mtume aliyemsaliti Yesu, The daily ilisema.
Trump ametoa matamko ya"ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa "katika hotuba zake dhidi ya Mexicans katika kampeni yake, gazeti la The daily ilisema.
Trump aliwahi sema kuwa iwapo atachaguliwa rais, atafukuza Mexicansn wote wanaoishi kinyume cha sheria nchini Marekani na kujenga ukuta kubwa kati ya mataifa mawili ili kuwafungia Mexicans nje.

0 comments:

Chapisha Maoni