Timu ya Taifa Stars ya Tanzania hapo baadae itajitafutia nafasi ya kuingia kwenye fainali ya mchezo wa soka Mataifa ya Afrika mwaka wa 2017 itakapochuana na timu ya Chad.
Kocha anayekinoa kikosi hicho Charles Boniface Mkwasa amesema anashukuru vijana wake kwa kuwa hawana majeruhi na wote wameweza kufanya mazoezi aliyoyapangilia bila tatizo.
Kikosi cha Stars kitakachoanzanleo hiki hapa;
1. Aish Manula,
2. Shomari Kapombe,
3. Mwinyi Haji,
4. Etasto Nyoni,
5. Kelvin Yondani,
6. Himid Mao,
7. Jonas Mkude,
8. Mwinyi Kazimoto,
9. Thomas Ulimwengu,
10. Mbwana Samatta - C,
11. Farid Mussa,
Subs:
1. Ally Mustafa
2. Juma Abdul
3. Mohamed Hussein
4. David Mwantika
5. Shiza Kichuya
6. Ibrahim Ajibu
7. John Bocco
0 comments:
Chapisha Maoni