Jumatano, Machi 30, 2016

NDEGE YAUA 7 QUEBEC

Ndege moja ya kibinafsi imeanguka katika kisiwa cha mashariki ya pwani ya Quebec nchini Canada na kuuwa watu saba.
Maofisa nchini humo wanasema ndege hiyo ndogo ilianguka ilipokuwa ikikaribia uwanja wa ndege wa Madeleine kukiwa na upepo mkali na barafu.
Ripoti zinasema miongoni mwa waliofariki ni aliyekuwa waziri wa uchukuzi nchini Canada Jean Lapierre, pamoja na watu wa familia yake.

0 comments:

Chapisha Maoni