Utafiti mpya wa Marekani umeonesha kuwa, watoto na vijana wanaochelewa
kulala wanakabiliwa na uwezekano mkubwa zaidi wa ongezeko la uzito
kuliko wale wanaolala mapema.
Watafiti wa chuo kikuu cha California walichunguza takwimu za vijana na watu wazima elfu 3,300. Watafiti hao walilinganisha wakati wao wa kulala na uzito wao, wakagundua kuwa muda wa kulala wa vijana wengi haujafika saa 9. Kama vijana kila siku wakichelewa kulala kwa saa 1, uzito wao utaongezeka na athari hiyo haina uhusiano na mambo mengine kama vile mazoezi au muda wa kutumia kompyuta.
Watafiti wamesema, lengo la udhibiti wa uzito linatakiwa kuwa kuhakikisha muda wa kulala wa vijana.

0 comments:
Chapisha Maoni