Alhamisi, Machi 17, 2016

INDIA: WANAFUNZI WALIOPIKA NYAMA YA NG'OMBE WAKIPATA CHA MOTO

Wanafunzi wanne walipokea kichapo cha mbwa katika chuo kimoja cha kibinafsi kwa madai ya kupika nyama ya ng'ombe katika chumba chao cha kulala,nchini India katika jimbo la kashmir.
Wanafunzi hao walinusurika baada ya maafisa wa polisi kuingililia kati. 
Raia wengi wa jamii ya India, wamepiga marufuku uchinjaji wa Ngombe kwa kuwa mnyama huyo ni mtakatifu.

0 comments:

Chapisha Maoni