Watu wawili waliuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika ajali ya barabara iliyoshirikisha zaidi ya magari 20 katika mji wa Higashi hiroshima nchini Japan.
Ajali hiyo ilitokea mwendo wa 07:30 katika handaki ya Hachihommatsu, Sanyo. zaidi ya watu 70 waliokolewa.
0 comments:
Chapisha Maoni