Watu watatu wamejeruhiwa baada ya basi walimokuwa wakisafiria kugonga
ndovu katika eneo la Kenani, karibu na mji wa Mtito Andei nchini Kenya.
Ndovu huyo alikufa papo hapo huku basi hilo lililokuwa likitoka Mombasa kwenda Homa Bay likianguka likiwa na abiria 43.
Ndovu huyo alikufa papo hapo huku basi hilo lililokuwa likitoka Mombasa kwenda Homa Bay likianguka likiwa na abiria 43.
0 comments:
Chapisha Maoni