Kati ya mambo ya kustaajabisha ulimwenguni ni pamoja na wizara mahsusi iliyopo Saudi Arabia inayohusika na masuala ya furaha kwa wananchi wake, hapa Tanzania ingekuwepo nadhani isingekuwa gumzo ila waziri wa wizara husika ndio ingekuwa gumzo.
Basi huyu hapa (pichani) ni Ohood Al Roumi waziri wa furaha wa Saudi Arabia.
Saudi Arabia inaorodheshwa kwenye nafasi ya 20 kati ya nchi zenye furaha duniani, ya kwanza ikiwa ni Switzerland, Iceland, Denmark na Norway.
0 comments:
Chapisha Maoni