Jumatano, Februari 10, 2016

MASHINDANO YA MBIO UKIWA UMEMBEBA MKEO

Je, unaweza kimbia ukiwa umebeba mke wako kwenye mgongo? Wakulima wa mkoa wa Henan nchini China waliandaa shindano la kipekee ambapo wanaume walitakikana kukimbia wakiwa wamebeba wake wao migongoni kuadhimisha mwaka mpya wa kichina. Ole wao wale wasioweza kustahimili uzito wa wake wao!!

0 comments:

Chapisha Maoni