Siku hii maarufu kwa jina la LAW DAY ni Ishara ya ufunguzi wa Mwaka mpya wa shughuli za Kimahakama nchini.
Katika sherehe hizo zinazofanyika Mkoani Dar es Salaam, Mgeni rasmi ni Rais, Dk. Dk. John Magufuli ambaye leo ndiyo inakuwa Mara yake ya kwanza kushiriki sherehe Hiyo akiwa na cheo cha Rais.
0 comments:
Chapisha Maoni