Jumamosi, Februari 27, 2016

INDIA IMETANGAZA MAENEO 16 AMBAO NI MARUFUKU KUJIPIGA (SELFIE )

Mamlaka katika mji wa Mumbai nchini India imetangaza maeneo 16 ambao ni marufuku kujipiga picha kwa kutumia simu (selfie ) hii ni baaba ya watu kadhaa kufa wakiwa wanajipiga picha .
Taakwimu za mapema mwaka huu zinaonyesha kati ya watu 49 waliokufa kwa kuteleza wakijipiga picha kote duniani 19 wako nchini India.

0 comments:

Chapisha Maoni