Jumanne, Januari 26, 2016

WANAFUNZI 16 AFRIKA KUSINI WAPEWA SCHOLARSHIP ILI WATUNZE BIKIRA ZAO

Umesikia haya? Meya wa mji wa Uthukela nchini Afrika Kusini amewapa msaada wa masomo yaani scholarship kwa wanafunzi wa kike 16, ili kuwaunga mkono "waendelee kusalia bikira, na kusoma tu. Msemaji wa Meya huyo anasema kila wakati wa liikizo za masomo, wanafunzi hao wasichana watachunguzwa afya, kabaini kama bado ni bikira na kama basi watavunja ahadi msaada wao wa masomo utakatizwa.

0 comments:

Chapisha Maoni