Jumapili, Januari 24, 2016

WAFUNGWA 100 WATOROKA GEREZANI BAADA YA KUBOMOA UKUTA

Zaidi ya wafungwa 100 walipata uhuru baada ya kubomoa ukuta na kutoroka kutoka kwa gereza moja iliyoko katika Mji wa Rucife, kaskazini mwa Brazil siku ya Jumamosi.
Wafungwa hao walitumia vilipuzi kulipua ukuta wa gereza hiyo inayojulikana kama Frei Damiao de Bozannoyoko Kabla ya kutoroka. Wafungwa wawili waliuawa baada ya kupigwa risasi walipokuwa wanatoroka

0 comments:

Chapisha Maoni