Alhamisi, Januari 07, 2016

UWANJA WA NDEGE ULIOJENGWA KATIKA MWAMBA BAHARINI

Uchina imefanikiwa kufanya majaribio ya kupaa na kutua kwa ndege ya kubeba abiria katika uwanja mpya wa ndege uliojengwa juu ya mwamba katika bahari la South China. Uwanja huo ulijengwa ili kutumika na ndege zinazotaka kutua kwa dharura na pia katika shughuli za uokoaji katika bahari hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni