Jumamosi, Januari 30, 2016

TUFANI YA THELUJI ILIYOIPIGA MAREKANI NI KUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA

Kulingana na takwimu za serikali ya Merikani,tufani kubwa maraufu kama “Blizzard Jonas” ambayo iliweka theluji mzito na kuuwa takriban watu 48 kaskazini mashariki mwa Merikani mwishoni mwa wiki uliopita,imekuwa tufani kubwa zaidi katika msimu huo wa baridi kuathari mkoa huo tangu mwaka wa 1950.
Dhoruba ya theluji ilifunika karibu maili 434,000 (milioni 1.12 kilomita za mraba) na kuathiri watu karibia milioni 102.8, NOAA ilisema
Wanauchumi walikadiria hasara kuwa kati ya bilioni 2.5 na 3 dola za Merikani.

0 comments:

Chapisha Maoni