Jumamosi, Januari 30, 2016

SERA MPYA YA ELIMU KATIKA JINSIA KENYA

Kenya imezindua sera ya jinsia katika elimu ili kufikia usawa wa kijinsia katika elimu.
Sera hii ambayo ilizinduliwa mjini Nairobi siku ya Ijumaa ina lengo la kuhakikisha kwamba wavulana na wasichana wako na fursa sawa ya kupata elimu na kuwalinda dhidi ya vikwazo wasichana hupitia katika kupata elimu bora.

0 comments:

Chapisha Maoni