Mganga mkuu wa Serikali nchini Tanzania Profesa Mohamed Bakari ameonya kuwa maradhi ya Zika yanayosambaa kwa haraka hasa yakitokea nchini Brazil yanaweza kuingia nchini Tanzania.
Tahadhari hiyo inatolewa ikiwa imebainika kuwa mbu aina ya Aedes Egyptiae ndio pia wanaosababisha maradhi ya Dengue ambayo yalienea Tanzania mwaka wa 2014, kabala uya kuthibitiwa,.
Maradhi ya zika yanaathiri watoto kabla ya kuzaliwa wakati mbu hao wanapouma mama akiwa mja mzito.
0 comments:
Chapisha Maoni