Alhamisi, Januari 28, 2016

PICHA YA VIAZI ILIYOUZWA $ 1.04 MILIONI

Je, unaweza kufikiria picha ya viazi maarufu kama Irish inaweza kuuzwa kwa zaidi ya dola milioni 1 za Marekani?
Hiyo sio miujiza! Mwaka jana , mfanyabiashara wa Ulaya alinunua picha hiyo ya viazi iliyokuwa imepigwa kwa umaarufu sana na mpiga picha maarufu Kevin Abosch, 46, kwa dola milioni 1.08 za Marekani.
Kevin Abosch, anajulikana na wengi haswa wasanii mashuhuri kwa uhodari wake wa kupiga picha.
Baadhi ya picha ambazo msanii huyo amepiga ni zile za Muigizaji maarufu dunianiJohnny Depp, mwimbaji Yoko Ono na wengine wengi na kwa kawaida mpiga picha huyu hulipisha dola 500,000 kwa kila picha.

0 comments:

Chapisha Maoni