Ijumaa, Januari 15, 2016

MICHELLE OBAMA HATAGOMBEA URAIS SIKU ZIJAZO

Mke wa rais wa Marekani,Michelle Obama hatawania urais siku zijazo, Rais wa Marekani Barack Obama alisema siku ya Alhamisi na kusitisha uvumi uliokuwa unaendelea kuhusu jambo hilo.
Akizungumza katika ukumbi mmoja ulioko katika jimbo la Louisiana, Rais Obama alisema "Hapana, hapana, hapana. Hapana, hapana."
"Kuna mambo ambayo ni lazima kila mtu ayapitie maishani: Kifo, kulipa kodi na Michelle hatagombea urais," Obama alisema.

0 comments:

Chapisha Maoni