Ijumaa, Januari 15, 2016

EBOLA YAIBUKA NIGERIA

Mtu mmoja ameripotiwa kufariki baada ya kupata virusi vya homa ya Lassa katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja, waziri wa afya nchini humo, Isaac Adewole alisema siku ya Alhamisi.
Muathiriwa huyo kutoka jimbo la Plateau, Nigeria ya kati, alifariki siku ya Jumatano na kuongeza idadi ya waliofariki kutokana na ugonjwa huo nchini humo kufikia 42.

0 comments:

Chapisha Maoni