Kikao cha kawaida cha 26 cha wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika na serikali kilianza siku ya Jumamosi (jana) katika makao makuu ya AU katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.
Wakuu wa nchi za wanachama watakusanyika kwa kikao ya siku mbili chini ya kaulimbiu ya ," 2016 mwaka wa kiafrika wa haki za binadamu na lengo hasa kwa haki za wanawake”
0 comments:
Chapisha Maoni