Siku 87 tu bada ya kuwekwa kwenye You tube Wimbo maarufu “Hello”wa mwanamuziki Mwingereza Adele sasa umevunja rekodi kwa kutazamwa mara bilioni moja.
Kulingana na YouTube ni video 17 pekee ambazo zimetazamwa mara bilioni moja kwa sasa, lakini ya Adele imetazamwa mara bilioni moja ndani ya muda mfupi.
0 comments:
Chapisha Maoni