Jumanne, Januari 26, 2016

UWEZO MKUU WA BINADAMU KATIKA UCHORAJI WA 3D

Amini usiamini hii ni michoro ya msanii Sushant Sushil Rane mwenye umri wa miaka 19 kutoka india.
Ndani ya miaka mitatu msanii huyu ameweza kuboresha ustadi wake wa michoro ya 3D na sasa unatamani hata kuchukua “yai na soda”, lakini kumbe ni michoro tu!

0 comments:

Chapisha Maoni