Jumamosi, Januari 23, 2016

HALI YA MAMBO NCHINI BURUNDI

Polisi kutoka Burundi walisema jana (Ijumaa) kuwa watu kumi na wawili walijeruhiwa siku ya Alhamisi usiku katika mji mkuu wa Burundi wakati watu wasiojulikana walilipua mabomu.
Mashambilizi hayo yalitokea wakati wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa walifika mjini Bujumbura.
Msemaji wa polisi Pierre Nkurikiye alikashifu vikali mashambulizi hayo akisema kuwa ni "vitendo vya kigaidi" kwa sababu mashambulizi hayo yalilenga raia.

0 comments:

Chapisha Maoni