Jumatano, Januari 27, 2016

FAIDA 4 ZA ASALI KIAFYA

Asali ni chakula cha kimiminika kitamu kinachotengenezwa na nyuki. Asali imekuwa ikitumika kwa karne nyingi kama chakula na dawa ya kutibu magonjwa mbalimbali.
Matumizi ya asali yana faida nyingi kwa afya yako. Unaweza kutumia asali badala ya sukari ya kawaida kwenye vinywaji kama chai n.k.
1.Kutibu allergy za vumbi
Asali hutumika kutuliza allergy hasa zinazotokana na vumbi.
2. Hutumika Kutibu vidonda
Vidonda kutokana na kuungua moto au kuumia vinaweza kutibiwa kwa kutumia asali. Asali huzuia bakteria kuota kwenye kidonda na hivyo kidonda hufunga vizuri.
3. Kutibu kikohozi
Asali imekuwa ikitumika kutibu kikohozi hasa kwa watoto. Kunywa asali kwenye kijiko au changanya na maji ya moto kisha kunywa.
4. Kuimarisha kinga ya mwili.

0 comments:

Chapisha Maoni