Jumatano, Januari 27, 2016

ADEBAYOR KUITUMIKIA CRYSTAL PALACE

Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo Emmanuel Adebayor amesajiliwa na klabu ya soka ya Crystal Palace ambayo inashiriki Ligi Kuu Ya Uingereza (EPL)
Kwa jumla Adebayor mwenye umri wa miaka 31 amefunga magoli 94 katika Ligi ya England akiwa amezichezea timu za Tottenham,Arsenal na Manchester City.

0 comments:

Chapisha Maoni