Yapo madai kwamba, Mchungaji Christopher ambaye ni msaidizi wa Kanisa la
Tanzania Assemblies of God ‘TAG’, Kinondoni jijini Dar amekuwa akikerwa
na tabia chafu anazozisikia za msanii Lulu Mathias Semagongo ‘Antu
Lulu’.
Utashangaa sana kwamba, hayo yalisemwa na Anti Lulu mwenyewe juzi alipozungumza na mwanahabari hili kuhusu maisha anayoishi kwa sasa.
Lulu alisema:
Jamani, kama ni kubadilika najitahidi. Hata Mchungaji Christopher wa TAG, Kinondoni kwa Mchungaji Swai amekuwa akiniambia nirudi kanisani akaniombee.
Unajua yule ndiye aliyenilea kiroho nikiwa nasoma Sunday School pale, sasa anaposoma habari zangu anaumia, lakini sasa nimebadilika sana.
0 comments:
Chapisha Maoni