Alhamisi, Agosti 21, 2014

MJADALA WA KUWEPO SIKU YA WALEVI NA WAVUTAJI WA SIGARA TANZANIA, SABABU ZIKO HAPA

Tupo hapa bar fulani kama kawaida tunaburudika. Yaani round zinazunguka kama kawaida.
sasa ndo nimetowa wazo hapa tunalijadili na hata ikiwezekana liwekwe kwenye rasimu ya WARIOBA.
Ni muda muafaka sasa kwa serikali kuweka sherehe ya walev na wavutasigara coz uchumi wa nchi yetu unatutegemia sisi walevi na wavutasigara.

Tunapendekeza sikukuu ya walevi iwe tar. 9 september yani 9\9
sikukuu ya wavuta sigara iwe tar 6 june yani 6\6.

ViA zidumu fikra za mlevi

waiterrr.... lete KILIMANJARO baridi haraka.
au tuhame bar??

0 comments:

Chapisha Maoni