Alhamisi, Agosti 21, 2014

BURUNDI YAJITOA KATIKA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

Burundi imeamua kujitenga kwa muda kutoka jumuiya ya Afrika ya Mashariki na kubaki kama waangalizi (Observer) kutokana na kushindwa kumudu gharama za vikao ambavyo ni sita kwa mwaka!
Hivyo Burundi haitashiriki katika kupiga kura za maamuzi! Hata hivyo imesisitiza kuwa haitajiondoa katika jumuiya hiyo na itarudia katika uanachama wake wa kawaida hali ya uchumi wake utakapotengamaa!

0 comments:

Chapisha Maoni