Fatuma Hassan ‘DJ
Fetty’, Presenter wa Clouds Redio na TV juzikati alijikuta akitwangana makonde na mrembo mmoja ambaye
jina lake halikuweza kufahamika mara moja baada ya kupishana kauli
kwenye ukumbi mmoja wa starehe pande za Kahama, Shinyanga.
Katika
tukio hilo, Fetty aliyekuwa kwenye ‘tour’ ya Serengeti Fiesta alizama
ukumbini hapo usiku na baada ya muda mfupi paparazi wetu alishangaa
kumuona akizichapa na mrembo huyo ikidaiwa walizinguana, hata hivyo
waliamuliwa kabla mambo hayajawa mabayaw.
Ziara ya Tamasha la Fiesta kesho itahamia Tanga ambapo wasanii kibao wataangusha burudani ndani ya Uwanja wa Mkwakwani.




0 comments:
Chapisha Maoni