Jumanne, Agosti 19, 2014

KWAHILI DIAMOND ANAPASWA KUMSHUKURU MUNGU WAKE

Utajisikiaje pale mtu mwenye influence kubwa katika kitu unachokifanya anapo comment kwenye moja ya picha yako ambayo dizaini kama imemstua fulani hiviii, ila kwa uzuri.
Nauliza hivyo kwa sababu Meneja wa wasanii wakubwa pande za States, kama vile, Big Sean, Trey Songs n.k, Juzi kati makamu huyo wa Raisi wa kampuni ya Def Jam, Kevin Liles alishindwa kuvumilia na kuamua kudondosha comment yake kwenye picha ya Diamond kwenye mtandao wa picha yaani instagram wakati Diamond akiwa pande za Tunduma…..

Kwa jinsi ule umati ulivyompokea dizaini Kevin akaona potential ya Diamond nchini mwake na kuamua kuandika comment kwamba Diamond kama akipata nafasi amtafute, comment hiyo inasomeka kama
"Great shot, hit me when you get a chance"

0 comments:

Chapisha Maoni