Jumatatu, Agosti 11, 2014

HII NI KUHUSU SAMAKI MTU (NGUVA) ALIYEFIA UFUKWENI, KAMA HUKUIPATA ICHUKUE VIZURI HAPA

Pengine wewe ni kati ya watu ambao hawaamini uwepo wa viumbe ambao tunasadiki kuwa ni waajabu wanaofahamika kama 'Samaki Mtu' ni viumbe wa majini walio na muonekano wa viumbe viwili tofauti yaani juu mtu na kuanzia kiunoni  kushuka chini huwa na umbo la samaki, kwa jina maalumu huitwa NGUVA.
Habari ama tukio kubwa kuhusu viumbe hao, ni kuhusu Samaki huyu adimu kabisa Duniani kumtia machoni ameonekana amefariki ama amekufa pembeni mwa ufukwe wa bahari huko BENIN, Ujerumani.
Kama ulidhani ni hadithi za kuhadithiwa kuhusu Samaki hawa basi ujue hivi vitu vipo na vinaishi.

1 comments:

  1. Kuhusu hilo ulilopost halina ukweli hao samaki mtu hawapo kibiologia. Ila nguva kwa lugha ya kiingereza anaitwa sirenia ni mammalia anayeishi majini na wala hafanani na mtu.
    Hicho ulichopost kinaitwa mermaids ni vitu vya kudhania na mara nyingi vimezungumziwa kwenye vitabu vya hadithi huko nchi za wenzetu.

    JibuFuta