Alhamisi, Julai 24, 2014

WAHUKUMIWA KUCHOMWA LIPS NA SIGARA BAADA YA KUFUMWA WAKILA KATIKA MFUNGO

Watu sita wamehukumiwa kuchomwa lips zao kwa sigara hadharani baada ya kukutwa wakila chakula mchana katika kipindi hiki cha Ramadhani.
Kati ya watu hao sita, mmoja amebainika kuwa sio muumini wa dini ya kiislamu huku wengine watano wakiwa wafuasi wa dini hiyo.
Tukio hilo limeripotiwa katika jiji la Kermanshah, Iran ambapo adhabu hiyo ilithibitishwa na gavana wa jiji hilo, Ali Ashraf Karami.
Hata hivyo taasisi ya kitaifa ya Iran (The National Council of Resistance of Iran) imelaani kitendo hicho na kuzitaka nchi za magharibi kuingilia kati na kuchukua hatua kufuatia kitendo hicho ambacho ni kinyume na haki za binadamu.
The silence of the world community, especially of western countries, vis-à-vis these medieval punishments under the excuse of having nuclear talks with Iran has intensified the brutal and systematic violation of human rights in Iran.

0 comments:

Chapisha Maoni