Jumatano, Julai 02, 2014

TID AFUNGUKA ZAIDI KUHUSU KUMTUSI RAY C

Baada ya stoty kubwa ya jana kuhusu TID Mnyama kumtukana Rehema Chalamila 'RAY C' kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya Kuomba kuzungumza nae, sasa kwa mara nyingine TID amefunguka kama ifuatavyo kuhusiana na jibu alilompa mwanadada Ray C kwenye picha yake ya Instagram.

Aaah kumbe ni yeye ndio ananitafuta, why cant you just call her halafu ndo unipigie mimi simu, umwambie kwanini unamtafuta huyu jamaa na kwanini na kwanini, kwasababu mimi kama mtu ananitafuta hawezi kunitafuta kwenye Instagram, so may be she is trying to make somebody happy, sasa ndo hicho ambacho kime, umeona labda kuna tatizo.
Sijawahi kuwa na matatizo na Ray C mimi hata sijawahi yaani, kwanza sijamuona kama miaka mitano, nashangaa nini anataka kuongea na mimi Ray C, mbona hajanitafuta miaka yote anitafute saa hivi, if she wanna make a point out of it, i really dont like it yaani wewe sasa nakwambia jamaa hataki kuonana na wewe you drug addicted, you been doing alot of shit, you been staying in ghettos, you been being a prostitute, so me i don't want influence yangu ikawa mbaya, kwahiyo staki kuongea nae staki kukutana nae, akaongee na ma boyfriend zake anaofanya nao vitu vibaya, am not her type, mimi am living with my family, am living with my mum, i drive my cars, come on man,
am not her type, umeelewa, she wants to prove a point, may be she wants to make up with me, am not ready my friend, i don't date women like her, umeelewa, yaani kama anataka back up, asitafute backup kwangu, kuna society kibao ambazo anaweza kuzisaidia, anaweza akashuka pale kinondoni manyanya akafanya nini, kwa hiyo she shouldn't be involved na mambo yangu na maisha yangu, awasaidie watu wengine, mimi i really don't need to see her kabisa, she is a bad influence.
amesema TID

0 comments:

Chapisha Maoni