Jumatano, Julai 02, 2014

BAADA YA BET DIAMOND ACHAGULIWA TENA AFRIMMA, YUPO KATIKA NOMINATION 5

Baada ya seke seke la  BET sasa Diamond Platnumz amechaguliwa tena kuwa nominated katika tuzo za  za Afrimma‬ awards ( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS), barani Africa, zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july, na time hii pia amefanikiwa kuwa nominated tena katika category 5.
  • Best male east afrika
  • Song of the year(number1).
  • Video of the year (number 1)
  • Best collabo (nymber1 rmx)ft davido
  • And Best afrikan artist of the year
Sasa kazi kwetu watanzania kumpa support Diamond kwa kuvote kupitia link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/ Kisha vote kwenye kila category aliyopo.

0 comments:

Chapisha Maoni