Ijumaa, Julai 25, 2014

TAARIFA YA TCRA KUHUSU KUSITISHA KIPINDI CHA XXL YA CLOUDS FM

Hii ishu mwanzo haikuwa wazi sana lakini sasa si siri tena, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania iilisitisha matangazo ya kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm ya jijini Dar es Salaam  tangu tarehe 4 julai, 2014.
Kusitishwa kwa kipindi hicho cha burudani kumetokana na uchunguzi unaoendelea wa tuhuma za ukiukwaji wa sheria za utangazaji dhidi ya kituo hicho!
Siri hiyo  imetolewa na mtangazaji wa kipindi hicho Adam Mchomvu a.k.a baba la baba alipopost picha hii huko Instagram

0 comments:

Chapisha Maoni