Ijumaa, Julai 25, 2014

FAMILIA 30 ZALALA NJE BAADA YA KUBOMOLEWA NYUMBA

Zaidi ya kaya 30 ambazo zinaishi katika eneo la Mbezi Beachi sokoni zimelazimika kulala nje baada ya nyumba za kubomolea na mtu asiyejulikana na bila kuwapa taarifa yoyote juu ya kubomolewa kwa makazi ya watu hao hivyo kusababisha kaya hizo pia kupoteza mali zao na zingine kuharibika hivyo kuiyomba serikali kuingilia kati hatua hiyo ya kubomolewa kwa nyumba zao baada ya wananchi hao kudai kuishi eneo hilo tangu mwaka 1992 na viongozi wa mtaa pamoja na diwani kujua uhalali wao wa kuishi eneo hilo.

0 comments:

Chapisha Maoni