GOOD MORNING! Kuna watu wengi wameamini kwamba Diamond Platnumz
amenyoa kipara baada ya kuona hii picha, na wakazidi kuamini hilo
kutokana na msemo wake wa "MWENDO WA VIPARA" ukweli ni kwamba Diamond
hajanyoa kipara ila ni utundu wa watu katika AdobePS, hapa utaiona picha
original ya hiyo iliyochezewa...Picha kwa hisani ya Fichuo Tz Blog!!!
0 comments:
Chapisha Maoni